TEZI DUME.

TEZI DUME:SABABU, DALILI, MADHARA NA TIBA.

Tezi dume (Prostate):-
ni tezi ndogo iliyo sehemu ya mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Iko chini ya kibofu cha mkojo na huzunguka sehemu ya juu ya mrija wa mkojo (urethra).
Inasaidia kuzalisha majimaji yanayolisha na kusafirisha mbegu za kiume.


SABABU ZA TEZI DUME:

  1. Kuongezeka kwa umri– matatizo ya tezi dume huongezeka kadri mwanaume anavyozeeka.
  2. Mabadiliko ya homoni– hasa testosterone na dihydrotestosterone (DHT).
  3. Historia ya familia– kama ndugu wa karibu ana historia ya saratani au uvimbe wa tezi dume.

DALILI ZA TEZI DUME:

  1. Kukojoa mara kwa mara hasa usiku.
  2. Maumivu au hali ya kuchoma wakati wa kukojoa.
  3. Mkojo kutoka kwa shida au kwa nguvu ndogo.

MADHARA YA TEZI DUME:
  1. Kizuizi cha mkojo.-mkojo unaweza kuzuiwa kabisa.
  2. Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI).
  3. Saratani ya tezi dume.-ikiwa ni hali mbaya zaidi.
TIBA YA TEZI DUME KUTOKA JORDAN:

Tunapendekeza bidhaa bora kutoka Jordan ambazo zimetengenezwa kwa viungo asilia kusaidia kupunguza uvimbe wa Tezi dume, Kuimarisha nguvu za kiume na kuondoa maumivu.
Pia ni bidhaa maalumu..

  1. Inayosaidia Kupunguza uvimbe wa Tezi dume na kurahisiha kukojoa.
  2. Inasaidia Kuimarisha Kinga ya mwili na Kuzuia Maambukizi ya Bacteria kwenye Mfumo wa Mkojo.
  3. Hurejesha nguvu za kiume na Kuimarisha Uzalishaji wa Mbegu za Kiume.

💰 Bei:Tsh 275,000/= kwa Package.

🚚Usafiri ni BURE popote Tanzania.

☎Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0687-770-155

Tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658770155

🛑 USISUBIRI HALI IZIDI KUWA MBAYA!Pata suluhisho la uhakika kwa Tezi dume na Kusaidia afya bora ya mfumo wa uzazi wa kiume
Wasiliana nasi sasa!