PRESHA.

UGONJWA WA PRESHA:SABABU, DALILI, MADHARA NA TIBA:

Presha:- ni nguvu inayosukuma damu kupitia mishipa ya damu kwenda kwenye viungo vya mwili.
Presha inaweza kuwa ya kawaida, kupanda (hypertension), au kushuka (hypotension).


Aina za Presha:

  1. Presha ya Kupanda (Hypertension)-
    Hali ambapo shinikizo la damu ni juu ya kiwango cha kawaida.
  2. Presha ya Kushuka (Hypotension)-
    Hali ambapo shinikizo la damu ni chini ya kiwango cha kawaida.

Sababu za Presha:

  1. Presha ya Kupanda:
    i. Msongo wa mawazo
    ii. Ulaji wa chumvi nyingi
    iii. Uvutaji sigara
    iv. Unene kupita kiasi
    v. Magonjwa ya figo
    vi. Historia ya familia
  2. Presha ya Kushuka:
    i. Upungufu wa maji mwilini
    ii. Magonjwa ya moyo
    iii. Kisukari
    iv. Upungufu wa damu

Dalili za Presha:
  1. Presha ya Kupanda:
    i. Kuumwa kichwa
    ii. Kizunguzungu
    iii. Maumivu ya kifua
    iv. Kupumua kwa shida
    v. v. Kuona Ukungu
  2. Presha ya Kushuka:i. Kizunguzungu
    ii. Uchovu
    iii. Kupoteza fahamu
    iv. Mapigo ya moyo kwenda polepole

Madhara ya Presha:
  1. Presha ya Kupanda: Inaweza kusababisha kiharusi, mshtuko wa moyo, matatizo ya figo, na kupoteza uwezo wa kuona
  2. Presha ya Kushuka: Inaweza kusababisha kupoteza fahamu ghafla, mshtuko wa moyo, na matatizo ya ubongo

Tiba ya Presha Kutoka Jordan Health Solution:

Ni muhimu kutafuta tiba mapema ili Kuepuka madhara makubwa, Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN ambazo hutibu Presha kwa asili, bila Madhara.

Unataka tiba ya Presha kwa njia ya asili?

Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN zinazosaidia kudhibiti presha na kuzuia madhara kama kiharusi na magonjwa ya moyo.

💰 Bei:Tsh 345,000/= kwa Package.

🚚Usafiri ni BURE popote Tanzania.

☎Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0687-770-155

Tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658770155

🛑 USISUBIRI HALI IZIDI KUWA MBAYA!Pata suluhisho la Presha mapema.Wasiliana nasi sasa!