NGIRI.

UGONJWA WA NGIRI:SABABU, DALILI, MADHARA NA TIBA.

Ngiri(Hernia):-ni hali inayotokea pale ambapo kiungo cha mwili kinapenya kupitia sehemu dhaifu ya misuli au tishu zinazoshikilia viungo hivyo.


Sababu za Ngiri:

  1. Udhaifu wa misuli unaoweza kuwa wa kuzaliwa au kutokana na kuzeeka.
  2. Mazoezi magumu kama kunyanyua vitu vizito mara kwa mara.
  3. Kikohozi sugu kinachoongeza shinikizo kwenye tumbo.
  4. Uzito mkubwa unaoweza kuongeza presha kwenye misuli.
  5. Ujauzito hasa kwa wanawake wanaobeba mimba zaidi ya moja.
  6. Upasuaji wa awali ambapo sehemu iliyopona inaweza kuwa dhaifu na kuruhusu ngiri kutokea.

Dalili za Ngiri:

  1. Uvimbe unaoweza kuonekana au kuhisiwa kwenye eneo husika.
  2. Maumivu yanayoongezeka unapokohoa, kucheka, au kusimama.
  3. Kiungulia na matatizo ya kumeza chakula (kwa ngiri ya kifua).
  4. Maumivu makali yanayoweza kuathiri maisha ya kila siku.
  5. Hisia ya uzito au kero kwenye tumbo.

Madhara ya Ngiri:
  1. Maumivu makali na usumbufu wa muda mrefu.
  2. Uvimbe unaoweza kuongezeka na kusababisha matatizo ya kiafya.
  3. Hatari ya viungo vya ndani kukwama, hali inayoweza kuhitaji upasuaji wa haraka.

Tiba ya Hernia Kutoka Jordan Health Solution

Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN ambazo hutibu Hernia kwa asili, bila Madhara.

Unataka tiba ya Hernia kwa njia ya asili?

Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN Katika Kukabiliana na Upasuaji wa Haraka.

💰 Bei:Tsh 339,400/= kwa Package.

🚚Usafiri ni BURE popote Tanzania.

☎Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0687-770-155

Tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658770155

🛑 USISUBIRI HALI IZIDI KUWA MBAYA!Pata suluhisho la Ngiri mapema.Wasiliana nasi sasa!