UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:SABABU, DALILI, MADHARA NA TIBA.
Upungufu wa nguvu za kiume( dysfunction erectile (ED)):-
Ni hali inayomfanya mwanaume kushindwa kufikia au kudumisha uume wake kuwa mgumu vya kutosha kwa ajili ya tendo la ndoa.
Sababu za Upungufu wa nguvu za kiume:
- Msongo wa mawazo na hofu-
Stress hupunguza uwezo wa ubongo kuchochea homoni za tendo la ndoa.
- Matumizi ya pombe na sigara kupita kiasi-
Huathiri mishipa ya damu na kushusha nguvu za kiume.
- Magonjwa sugu kama kisukari, shinikizo la damu, na magonjwa ya moyo-
Huathiri mtiririko wa damu kuelekea uume.
- Upungufu wa testosterone
- Matumizi ya dawa fulani
Dalili za Upungufu wa nguvu za kiume:
- Kupoteza hamu ya tendo la ndoa–
Mwanaume hupoteza kabisa hamasa ya kushiriki tendo la ndoa.
- Kukosa nguvu au uchovu kupita kiasi-
Mwanaume huhisi kuchoka mara kwa mara bila sababu ya msingi.
- Kushindwa kusimamisha au kudumu kwa muda mfupi–
Uume hushindwa kusimama au unalala mapema.
Madhara ya Upungufu wa Nguvu za Kiume:
- Migogoro ya ndoa na mahusiano –
Mpenzi au mke huanza kuhisi kutotoshelezwa kihisia na kimwili.
- Kujiona duni au kukosa kujiamini –
Husababisha matatizo ya kisaikolojia na kukosa furaha ya maisha
- Msongo wa mawazo na unyogovu–
Huleta huzuni ya kudumu na hata kuathiri utendaji kazini au kijamii.
Tiba Asilia Ya Nguvu za kiume kutoka Jordan Health Solutions:
Tunakushauri kutumia bidhaa bora zinazouzwa na Jordan Health Solution ambazo ni za Asili kabisa zinazofanya kazi zifuatazo;
- Huchochea uzalishaji wa Homoni za Kiume na Kuimarisha Nguvu za kiume za Asili.
- Huongeza stamina, nguvu za mwili na kuimarisha msukumo wa damu kwenye Uume.
- Huimarisha Afya ya Tezi dume na mtiririko mzuri wa mkojo, Kusaidia Nguvu za kiume.
- Husaidia kuongeza hamu ya Tendo la ndoa, Kuboresha uzalishaji wa mbegu za Kiume na kuimarisha mfumo wa homoni.
Ushuhuda wa Wateja Wetu
"Nilikuwa na tatizo la nguvu za kiume, baada ya kutumia bidhaa zenu nimepona kabisa. Asanteni sana!"
— Juma, Dar es Salaam
"Huduma yenu ni bora na bidhaa ni za asili. Nimefurahia matokeo!"
— Hamisi, Arusha
"Nimejirudia na sasa nina furaha kwenye ndoa yangu. Nashukuru Jordan Health."
— Musa, Mwanza
"Huduma yenu ni ya haraka na ushauri wenu umenisaidia sana."
— John, Mbeya
"Niliogopa kujaribu, lakini sasa najiamini tena. Asanteni kwa kunisaidia."
— Salum, Dodoma
"Nimeona mabadiliko ndani ya wiki mbili tu. Nashauri wengine wasisite kuwasiliana nanyi."
— Peter, Morogoro
💰 Bei:Tsh 289,000/= kwa Package.
🚚Usafiri ni BURE popote Tanzania.
Baadhi ya Bidhaa Zilizosafirishwa Kwa Wateja Wetu Nchini:
Tuna hakikisha bidhaa zinakufikia salama na kwa wakati wowote, popote ulipo Tanzania! Jiunge na mamia ya wateja waliopokea huduma bora kutoka Jordan Health.
☎Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0687-770-155
Tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658770155
🛑 USISUBIRI HALI IZIDI KUWA MBAYA!Pata suluhisho la uhakika kwa Tatizo la nguvu za Kiume na ufurahie maisha ya mdoa kwa Kujiamini.
Wasiliana nasi sasa!