KISUKARI.
UGONJWA WA KISUKARI:SABABU, DALILI, MADHARA NA TIBA:
Kisukari:-ni ugonjwa wa kimetaboliki unaosababisha viwango vya sukari kwenye damu kuwa juu zaidi ya kawaida.
Hali hii hutokea pale ambapo mwili hauwezi kutumia insulini ipasavyo au haizalishi insulini ya kutosha. Soma zaidi hapa.
Aina za kisukari:
- Kisukari cha Aina ya Kwanza (Type 1 Diabetes):- Hutokea pale ambapo mfumo wa kinga hujishambulia na kuharibu seli zinazozalisha insulini.
- Kisukari cha Aina ya Pili (Type 2 Diabetes):- Hutokea pale ambapo mwili hautumii insulini ipasavyo au haizalishi ya kutosha.
- Kisukari cha Ujauzito (Gestational Diabetes):-Hutokea kwa wanawake wajawazito na huweza kuisha baada ya kujifungua, lakini huongeza hatari ya kupata kisukari cha aina ya pili baadaye
Sababu za Kisukari:
- Historia ya familia
- Mtindo wa maisha
- Matatizo ya kinga ya mwili
Dalili za Kisukari:
- Kukojoa mara kwa mara
- Kiu kali
- Njaa kali
- Uchovu wa mara kwa mara
- Kupungua uzito ghafla
- Maono yasiyo wazi
- Vidonda vinavyochelewa kupona
- Maambukizi ya mara kwa mara
Madhara ya Kisukari:
- Matatizo ya moyo
- Kupoteza uwezo wa kuona
- Magonjwa ya figo
- Vidonda vinavyochelewa kupona
Tiba ya Kisukari Kutoka Jordan Health Solution:
Ni muhimu kutafuta tiba mapema ili Kuepuka madhara makubwa, Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN ambazo hutibu Kisukari kwa asili, bila Madhara.
Unataka tiba ya Kisukari kwa njia ya asili?
Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN zinazosaidia kudhibiti Kisukari na kuzuia madhara kama Magonjwa ya Figo n.k.
💰 Bei:Tsh 345,000/= kwa Package.
🚚 Usafiri ni BURE popote Tanzania.
☎ Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0687-770-155
Tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658770155
🛑 USISUBIRI HALI IZIDI KUWA MBAYA!Pata suluhisho la Kisukari mapema.Wasiliana nasi sasa!