BAWASIRI
UGONJWA WA BAWASIRI:SABABU, DALILI, MADHARA NA TIBA.
Bawasiri(hemorrhoids):-ni hali inayosababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu katika eneo la haja kubwa au ndani ya njia ya haja kubwa.
Ugonjwa huu unaweza kuwa wa ndani (internal hemorrhoids) au wa nje (external hemorrhoids)
Aina za Bawasiri
- Bawasiri ya ndani (Internal Hemorrhoids)– Hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na inaweza kusababisha damu kwenye choo lakini si rahisi kuhisi maumivu.
- Bawasiri ya nje (External Hemorrhoids)– Hutokea nje ya njia ya haja kubwa na inaweza kusababisha maumivu makali, muwasho na uvimbe.
- Bawasiri inayoning’inia (Prolapsed Hemorrhoids)– Hutokea pale bawasiri ya ndani inapovimba na kutoka nje ya njia ya haja kubwa.
Sababu za Bawasiri:
- Kufunga choo (constipation)kwa muda mrefu.
- Kuharisha mara kwa maraambayo huongeza shinikizo kwenye eneo la haja kubwa.
- Kukaa kwa muda mrefu chooni bila kujisaidia.
- Ujauzitoambapo presha kwenye tumbo huongezeka
- Kuinua vitu vizito mara kwa maraambavyo vinaweza kuongeza shinikizo kwenye mishipa ya damu
- Uzito kupita kiasiunaoweza kuongeza hatari ya bawasiri
Dalili za Bawasiri:
- Uvimbe unaoonekana nje ya haja kubwa
- Maumivu makali wakati wa kujisaidia
- Mwasho na hisia ya kutekenywa kwenye eneo la haja kubwa
- Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia
- Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia
- Hisia ya mkazo au kero wakati wa kujisaidia
- Mishipa ya damu inaweza kujitokeza nje
Madhara ya Bawasiri kwa Mwanaume na Mwanamke:
- Maumivu makali na usumbufu wa muda mrefu
- Damu kuganda ndani ya mishipa hali inayoweza kuhitaji matibabu ya haraka
- Kupata maambukizi hasa ikiwa bawasiri imepasuka
- Kupungua kwa ubora wa maisha kutokana na maumivu na usumbufu wa kila siku
Tiba ya Bawasiri Kutoka Jordan Health Solution:
Ni muhimu kutafuta tiba mapema ili Kuepuka madhara makubwa, Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN ambazo hutibu bawasiri kwa asili, bila Madhara.
Unataka tiba ya Bawasiri kwa njia ya asili?
Tunapendekeza bidhaa bora kutoka JORDAN zinazosaidia kupunguza na kuondoa uvimbe, maumivu na kurekebisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ili kuzuia choo kigumu.
💰 Bei:Tsh 269,600/= kwa Package.
🚚Usafiri ni BURE popote Tanzania.
☎Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0687-770-155
Tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658770155
🛑 USISUBIRI HALI IZIDI KUWA MBAYA!Pata suluhisho la Bawasiri mapema na epuka upasuaji au maumivu makali.Wasiliana nasi sasa!